Katika site hii tulipeleka kitanda cha size 5 by 6, cha chuma....Hapa mafundi wakifunga kitanda...
Kitanda kikiwa tayari na chaga zake......
Kitanda kikiwa tayari na godoro lake.......
Nimekua nikipata maswali kama vitanda hivi vinakubali magodoro gani....Jibu ni kua godoro lolote lile linakubali katika hivi vitanda.....ni utandikaji wako tuuu wa mashuka na kinapendeza......
Metal
Selasa, 18 Juni 2013
0 Response to "Site ya Tabata........"
Posting Komentar