Hapa ni baada ya kupaka rangi za Dulux kwenye nyumba hii....Tulichagua rangi aina mbili.....nikiwa na maana kwenye nguzo, kona rangi iwe ni moja, na sehemu ya nyumba iliyobaki basi rangi iwe ni ingine.....Rangi ya ukuta wa nje inaitwa Beige Sand, na rangi ya kwenye nguzo na kona inatwa Mohawk Valley...Rangi hizi ni Weather guard.....ni mahususi kwa nje, maana zinakabiliana na hali ya hewa yoyote ile, iwe joto, mvua etc....na bado itakua iko vile vile......kwa kipindi kirefu......
Nyumba hii yote nje imetumia rangi ndoo 2 , na kwenye kona na nguzo ilitumika ndoo 1.....Rangi hizi hubana matumizi ya rangi kutumika nyingi......na finnishing yake ni nzuri......Halafu kuna kitu kimoja....kwenye nyumba nyingi kuna kua na tatizo la kubanduka kwa rangi ya scarting ya chini.....kama hapo inavyoonekana kwenye picha hiyo rangi nyeusi ya chini.....Ningependa kuwajulisha kua, tatizo hili linazuilika.....Kuna rangi inaitwa Flex coat, rangi hii water proof, na inakabiliana na hali yahewa yoyote......
Nyumba hii ni kabla ya rangi haijapigwa.......
Karibuni sana, Homez Deco kwa mahitaji ya rangi za Dulux, tunachokifanya ni kwamba utakwenda na mtaalamu kwenye nyumba yako aweze kukadiria ni rangi kiasi gani utatumia, na kukupa ushauri wa vipi unaweza kutumia rangi tofauti tofauti katika nyumba yako ama ofisi etc......
Kwa rangi za nje, tutumie rangi zilizopoa......
0 Response to "Nyumba hii Imepakwa rangi za Dulux......imetumia ndoo 3 tuu....za rangi."
Posting Komentar