Picha za ukutani hupendezesha chumba na kuleta muonekano mzuri mno.....waweza weka picha 1 ama 2 ama 3 kulingana na ukubwa wa chumba chako... Haijalishi ni picha za aina gani, ni wewe upendavyo. Kinachohitajika ni ziwe kwenye level moja kwa kila picha wakati wa kuziweka.... unahitajika kupima nafasi kabla haujaweka ukutani, na zisiwe juu sana ama chini sana....
Interior
Jumat, 19 Oktober 2012
0 Response to "Picha za ukutani chumbani...."
Posting Komentar