Je unajua kua tiles tunazoziweka majumbani kwetu, zina mahali pa kuweka kulingana na matumizi ya chumba hicho?
nini kifanyike kabla ya kununua tiles?
na unachaguaje tiles ukifika dukani...... ama ndio tiles za kuteleza unaweka bafuni, na jikoni!!!
Endelea kua nasi.........
Tidak ada komentar:
Posting Komentar