Senin, 13 Februari 2012

Decorative Pillow case......Disney cartoons characters...are available @ Homez Deco...






hizi ni baadhi ya disney cartoon character pillow case, zinapatikana hapa kwetu homez deco, pillow case bila mto ni Tshs. 10,000/- ikiwa na pillow ni Tshs. 15,000/- ni cotton materials..... hizi zina matumizi mbali mbali waweza kuweka kitandani, ama kwenye chumba cha watoto etc. Hazipatikani kokote, nilijaribu kuzunguka kwenye maduka mbali mbali hakuna ......

many characters pillow case to come.....

Tidak ada komentar:

Posting Komentar