All Decoration

Jumat, 01 Oktober 2010

Safari hii Homez Deco tulivuka maji mpaka Zanzibar kwenda kushona mapazia na kufitisha.

Namshukuru mungu sana sana, kwa jinsi anavyotupigania, this time tulikua Zanzibar kwa muda wa wiki mbili, ila mie sikwenda, walikwenda mafundi peke yao. Na kwa kua kazi zetu tunafanya as a team hakukua  na tatizo kwa kweli, kazi ilikwenda vizuri bila tatizo lolote. Materials alinunua mwenyewe Dubai na sisi tulikuta tayari amenunua, hivyo ilikua ni kushona tuuu. Na nyumba ilikua bado hawajahamia ndio wanaweka mapazia kwanza. Nyumba ni ya ghorofa moja. Nawaomba radhi mpiga picha wetu this time hakuchukua picha zingine vizuri. Tunawaomba radhi. Nawatakia weekend njema. Enjoy the pictures.....

Picha hii ya kwanza ni kwenye ngazi. Madirisha yake yana curtain box design


Hapa ni master bedroom as you can see mafundi walikua wanashonea humo humo ndani kwa sababu nyumba ni mpya hawajahamia.

This design inatwa sinema design. I love it kwa kweli


Vyumba vya watoto







Dinning and sitting room







All Decoration di 01.05
Berbagi

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

‹
›
Beranda
Lihat versi web
Diberdayakan oleh Blogger.

Mengenai Saya

All Decoration
Lihat profil lengkapku