kwa kupitia blog hii, ukiwa unaitaji kutengenezewa garden, usisite kuonana na
Sylvia pia ni, mtaalamu wamambo haya ya garedning, mtafute akupe ushauri, nini chakufanya, hapo nyumbani kwako, iwe ni upigaji wa rangi, mapazia, hse organizing, pia na mambo ya mazingira, bustani
amewasadie wengi, pia wamezifurahia kazi zake. tuyapendezeshe mazingira ya majumbani kwetu, tunapoishi,mbona mambo mengine tunaweza kuyafanya na ya gharama tu, wengi wenu muna kasumba za kuweka price tags kwa kila kitu, nikimaanisha, kua ukitajiwa gharama unaona ni kubwa sana, jua ya kua gharama ya materials ni ghali, na tuachane na hii haitusadie bali inatudidimiza kimaisha, unakuta mtu ana nyumba nzuri ila haina mpangilio, rangi za ndani ya nyumba ni X-MASS TREE, mpangilio ndani ya nyumba haupo hatakama una vitu vya thamani havitonekani, maana wengi wetu tunapende vitu vijae tuu kila kitu ndani yanyumba na mazingira ya nje kuna mipangiliyo yake ndio maana tuna professionals ambao wanajuwa wanachokifanya, tuache kuwa cluttered, murundikano wa vitu haupendezi kabisaa ndani ya nyumba na nje ya nyumba. unalolote hili linakukwaza onana na dada Sylvia atakusadia. ninashirikiana naye anafanya kazi nzuri sana, please, use her do not abuse her. natumaini atawatatulia yanayowakwaza, kimazingira,ya ndani na nje ya nyumba zenu. asanteni
hizi ni baadhi yakazi ambazo tulizifanya, kushirikiana na wataalum wa kujenga ponds, yaani mabwawa, yana utaalamu wake wa kujenga kwa kutumia mawe, jinsi ya weka njia za maji. covers na kila kitu tulishirikiana na mataalam Justin from, Acade new york. Enjoy
0 Response to "Nadhani ndugu wa wasomaji wa blog hii mmejifunza mengi"
Posting Komentar