Jumat, 24 September 2010

Mom to be...... (this is me during my second trimester.Still single)







Namshuku mungu kwa yote aliyonitendea maishani mwangu, ninafuraha isiyokifani kuja kuitwa mama, na kila siku namuomba mungu anilinde na kuniepusha, na pia niweze kukabiliana na matatizo yoyote yatakayojitokeza katika kipindi hiki, na cha kumlea mtoto wangu.

Nawashukuru wote mnaoniombea mema. Sasa kazi inafanyika bila wasiwasi wasi kwani kuumwa uumwa nimeshapita hicho kipindi.

(Nimejaribu ku pose, maana ninaanda albam langu ya pictures during my pregnancy, duh nimeongezeka uzito kwa kweli lol.

Wish u all the best


Tidak ada komentar:

Posting Komentar