Jumat, 17 September 2010

Homez deco work (It's a display at our shop)



Homes Deco - Kreative homez inayo furaha kuwakaribisha dukani, kwa mahitaji yako ya mapazia, furniture arrangment, decorations, interior design, land scaping & gardening na ushauri.  Bei zetu ni za kawaida. Duka liko kinondoni studio trafic lights kama unatokea mwenge upande wa kulia kwenye service road utaona bango letu.karibuni sana.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar