Rabu, 21 Juli 2010

Back From Arusha Town

Nashukuru Mungu nimerudi salama, na safari yangu ilikua ni nzuri, though Arusha ni baridi sana, kila mara ilikua ni kuvaa makoti na kuota moto. Nawashukuru na walioniita huko Arusha kwani tumefanya kazi nao vizuri na kwa ushirikiano. Kazi iliyonipeleka kule ni Kupaka rangi nyumba nzima, na rangi alikua amechagua yeye mwenyewe hivyo nilizikuta ziko tayari. 

Nawaaandalia picha.

NB: Ukinihitaji mkoa wowote nitakuja.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar