All Decoration

Senin, 14 Juni 2010

This is one of my work. Before meets After.(It's a ladies saloon) at Kinondoni near my shop.

Hapa ni kabla  na jinsi kulivyokuwa . Nilikaa na mwenye saloon, na tu ka discuss na nika mdadisi, tulichagua color samples nilizonazo, na nikajua nini anapenda na nini hapendi. Baada ya hapo ndipo nilipoanza kazi. Namshukuru sana kwa ushirikiano wake. kazi hii niliifanya mwishoni mwa mwezi wa tano. Nilipata ushirikiano mzuri na mwenye saloon, actualy ni jirani yangu hapa dukani kwangu.At last tulikuja kupata rangi ambazo yeye alizipenda na tulitumia rangi ya PURPLE, PINK NA GREEN UKUTANI, THEN FURNITURE ZIWE NI BLACK, ACCESSORIES WHITE AND SILVER AND BROWN. 

Kwa ndani, inavyoonekana, mchanganyiko wa rangi....


Hii, ni sehemu ya ma  drier kama inavyoonekana hapa  ukuta nimepaka pinkHii ni sehemu ya kuoshea nywele kama inavyoonekana, ukuta ni pink na green.


Huu ni mlango wa kungilia hapo karibu na kabati, then kama inavyoonekana ni viti na viooo, bila kusahau sony wega kwa juu, ukuta nimepaka purple. (basi kwa movie za kinaigeria huwa hatupitwi wenzenu jamani hhahahaha, joke)

If you have an office, house, etc and you need interior design, or interior decoration pls don't hesitate to call us and we will be there to do the work for you. Just dial 0713 - 920 565.

All Decoration di 00.27
Berbagi

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

‹
›
Beranda
Lihat versi web
Diberdayakan oleh Blogger.

Mengenai Saya

All Decoration
Lihat profil lengkapku