All Decoration

Selasa, 04 Mei 2010

Jinsi ya ku-arrange maua fresh kwa muda wa dakika 5

Mahitaji ya arrangment hii ni flower vase yenye shepu kama ya tarumbera ama birika, maua yanayotambaa, na majani mwisho kabisa ni maji, weka maji robo kwenye vase yako kisha anza kuweka maua yako na  malizia majani, haihitaji kupangilia maua.


Chukua flower vase yako ndefu, jani la ua linaitwa golden palm, haya hupandwa nje, ama kwenye vyungu, na ua linaweza kuwa ni lolote tuu eidha la tropical etc, na maji.  hilo lililoko linaitwa orcads, huku kwetu hupatikana kwa shida kidogo tuuu.


Mahitaji ya arrangment hii ni maua, yaweza kuwa tropical, roses,etc, majani, na flower vase, na maji. Anza kuweka maji robo,  na weka maua yako kwa kuyapanga na mwisho kabisa makizia kupanga majani kwa pembeni kama  ua linavyoonekana.
All Decoration di 22.33
Berbagi

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

‹
›
Beranda
Lihat versi web
Diberdayakan oleh Blogger.

Mengenai Saya

All Decoration
Lihat profil lengkapku