Selasa, 04 Mei 2010
Jinsi ya ku-arrange maua fresh kwa muda wa dakika 5
Mahitaji ya arrangment hii ni flower vase yenye shepu kama ya tarumbera ama birika, maua yanayotambaa, na majani mwisho kabisa ni maji, weka maji robo kwenye vase yako kisha anza kuweka maua yako na malizia majani, haihitaji kupangilia maua.
0 Response to "Jinsi ya ku-arrange maua fresh kwa muda wa dakika 5"
Posting Komentar