

Kwenu wadau, tokea jana sijisikii vizuri kabisaaaaa, kichwa ndio usiseme kinavyoouma, na joto ndio duhhhh, nimeanza dozi ni homa za hapa na pale, though tuko kwenye kupigavita malaria.
Ila nitajitahidi kadri niwezavyo, kuendelea na biashara.
Nawatakia siku njema wooooteeeee.
nyingine za kuifadhia vitu jikoni natumaini mumeona mpangilio mzima wa jikoni na jinsi ya kupanga vitu mbalimbali majumbani mwetu unaitaji mpangilio huu onana na dada silyvia designers zipo nyingi inatemea na jinsi ulivyovutiwa, na budget yako. njoo ushauri unatolewa, na kama unaitaji kufuatwa nyumbani kwako kuna fees za kulipa utapewa ushauri nini cha kufanya, na nini usifanye kufuatana na jikoni au nyumba yako ilivyojengwa, pia tunashauri khs rangi za kupiga kwenye nyumba sehemu za biashara kwa wakazi dar epukeni dark colors zinaleta sana giza kwenye nyumba dark red, dark pink,dark blues hizi siyo rangi za dar, hata kidogo rangi za DAR ni cool lights, colors hii nifuatana na weather ya joto tuna joto sana atuitaji
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru woteee, na pia najua mtakua mnajiuliza ya kua ni kwa nini nimepunguza kasi ya ku upload kila siku.
Naomba kuwapa majibu, ni kuwa kama nilivyo waambia nimerudi full time kwenye biashara yangu, sasa basi ninachofanya ni kupunguza downloadable photos, na kuweka kazi zangu, maana sasa nina muda wa kufanya kazi zangu.
Napenda pia kutoa fursa hii pia kwa wale wa mikoani sasa niko free ninaweza kuja mpaka mikoani kuwafanyia kazi kwa bei nafuu.
Na kwa kuanza nitakwenda Dodoma, nitakuwa huko mwisho wa mwezi huu wa tano kwa muda wa siku mbili, kuna client wangu yuko huko, hivyo mkinihitaji tuwasiliane kwa namba 0713 - 920 565.
Nawapenda wote, na nawatakia weekend njema.
Hello Sylvia,
Hongera sana kwa kazi nzuri, huwa zinanivutia coz mie pia napenda sana Interior Design. Waweza kucheki link below uwawekee wadau wengine wacheze na rangi..coz nimeshindwa kuchagua za kukutumia zote ni KALI!!!
Nakutakia mafanikio katika roll yako mpya ya ujasiriamali .
http://www.houseofturquoise.com
(NASHUKURU SANA SANA, EUNICE, KWA KU SHARE NASI HII LINK, NA HUA NINAFURAHI KUWA TUKO PAMOJA NA KWA MOYO MMOJA YA KUWA WADAU WANGU SIO WACHOYO WA ELIMU, KWA WENZAO, WANAPOONA KITU KIZURI HUWA WAKO TAYARI KUNITUMIA NA NIWEZE KU POST ILI KILA MTU AWEZE KUONA.)
Homez Deco inayofuraha kuwataarifu kuwa sasa tuna color samples zaidi ya mia moja, zinazoweza kukusaidia, kuonyesha ni jinsi gani ya kuchanganya rangi, kuanzia kupaka rangi ukutani, arrangment, etc.
Tuna samples za vyumba vya watoto, wakubwa, etc.
Rangi hizi hutumika pia kwenye sherehe etc.
Karibu upate ushauri.
Nawaomba radhi kwa kuwa kimya kwa siku mbili tatu hizi, hii nikutokana na tatizo la provider wangu wa internet, ilikuwa iko nje ya uwezo wangu.
Sasa tuko pamoja katika kufanikisha hili, nawatakia siku njema.
Sylvia
Director.