
NAHISI NIME HAKIWA SABABU INAONEKANA IKO ONLINE NA MTU AKISEMESHWA ANAJIBU....... ILA SIO MIMI
ANGALIZO:- NAOMBA YEYOTE ASIJE AKARUBUNIWA NA YEYOTE KUPITIA EMAIL HIYO YA SHAMYOMY@YAHOO.COM
KWA SASA TUWASILIANE KUPITIA SHAMYOMY@GMAIL.COM
FROM SHAMIM AKA ZEZE.
KWA HISANI YA SHAMIM, NA MANGE.
0 Response to "KUNA MTU AMEHACK EMAIL YANGU... (Shamim aka Zeze) Pole sana , Naona sasa wote tuwe makini wana blog wooteee."
Posting Komentar