All Decoration
Rabu, 03 Februari 2010
Small space
Huyu yeye hana space kubwa, kama mnavyoona, kuna makochi, na jiko lake pia liko hapo hapo, na jiko ni zuri na safi, sio eti kwa sababu space ndogo ndio sehemu iwe chafu. Haijalishi uwe na sehemu dogo ama kubwa usafi ni wajibu wa kila mtu. sasa utakuta mtu ana nyumba kubwa lakini jikoni kwenye sinki kuna ukungu utafikiri nini sijui, halafu hapo hapo anaoshea vyombo vya kulia chakula, ukiuliza nyumba ya kupanga, UCHAFU TUACHE.....
Tidak ada komentar:
Posting Komentar
‹
›
Beranda
Lihat versi web
Tidak ada komentar:
Posting Komentar