Rabu, 03 Februari 2010 Small space Huyu yeye hana space kubwa, kama mnavyoona, kuna makochi, na jiko lake pia liko hapo hapo, na jiko ni zuri na safi, sio eti kwa sababu space ndogo ndio sehemu iwe chafu. Haijalishi uwe na sehemu dogo ama kubwa usafi ni wajibu wa kila mtu. sasa utakuta mtu ana nyumba kubwa lakini jikoni kwenye sinki kuna ukungu utafikiri nini sijui, halafu hapo hapo anaoshea vyombo vya kulia chakula, ukiuliza nyumba ya kupanga, UCHAFU TUACHE.....
0 Response to "Small space"
Posting Komentar