
Ninayo furaha kubwa kubwa wiki ijayo ni birthday yangu na ninamtukuzu Mungu muweza wa yote kwa kunipa nafasi ya kuishi mpaka sasa, kwani ni wengi wamesha tangulia mbele ya haki. Kwa hilo namshukuru Mungu.
Niko kwenye maandalizi ni wapi nikasherehekeee though it will be dinner like and something small, nitawajulisha ili tujumuike wote, na tufahamiane kwa wale mtakao jaaliwa kuja. Nawashukuru woteee
Tidak ada komentar:
Posting Komentar