
My handsome Jaydan, tunaanza kutembea sasa, usijiulize anafanya nini site.... hahhaha.... tunaanza kurithisha mapema.... hahhahahahh
Fixer baada ya kazi......
Mie naangalia kazi....hapo jayd yuko mbali.....
Curtain holder...
fixer akiwa kazini....
Wakianza ku fix 

wakitayarisha pazia
kwa wale wenye curtain box, ni maranyingi hua tunaangalia hali ya reli. kama hazifai twabadilisha. hapa wakibadilisha....

before sitting room curtains make over.....
Tidak ada komentar:
Posting Komentar