Metal Selasa, 29 April 2014 DINNING TABLE......... Meza ikiwa nyumbani kwa mteja wetu......ni yawatu 6....
Interior Senin, 28 April 2014 ODA YA SETI YA KITANDA........ Homez deco tulipeleka seti hii ya kitanda..kwa mteja... nilichofurahishwa nacho ni usafi wa godoro lake......katika kuhakikisha godoro lak...
Interior 22.43 STOOL YA MNINGA..... Hii ni oda ya mteja wetu .....alitaka stool ya mninga....kwa ajili ya kuweka ua juu..kwenye sebule yake....kwenye kona.... karibuni kwa mahi...
Minggu, 27 April 2014 KITCHEN PARTY GALA.......JANA......27/4/2014.... Nina mshukuru Mungu kwa siku hii.....niliweza kwenda kupata mafunzo...na kupima pia afya yangu....Mungu ni mwema kwangu..... nashukuru waand...
Interior 23.16 MADIRISHA KWENYE NGAZI..... Wadau wangu....nimekutana na hii design ya dirisha katika kazi zangu....na nafikiri hii ni mara ya 2 ama ya 3 kama sikosei....dirisha zina ...
Interior Rabu, 23 April 2014 UMESHAWAHI KUFIKIRIA KUA NA WALK IN CLOSET...KWENYE NYUMBA YAKO....... Siku hizi tunajitahidi kujenga nyumba za kisasa....na zinapendeza kwa kweli....kuna mambo tuu madogo madogo ya kuongezea..nimeona leo tuonge...
Interior 22.10 MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI...... Tumekua tukidharau sana stoo ya nyumba zetu...na kuhisi kua huku ndiko kwa kuficha vitu na kuweka kuwe tuu ulimradi bila mpangilio wowote.....