3rd March.....(Ni birthday yangu)......

Ninamshukuru mungu kwa kila jambo, na yeye ni muweza wa yote, na anaendelea kunipigania mpaka sasa, nikifikiria ni wangapi walitamani kuiona...

Inroducing Roman Blind....(available @ homez deco in a different colors and materials)....

Hizi ni baadhi ya roman blind, roman blind ni aina ya pazia pia, na zinatumika majumbani... katika chumba chochote... ziko za design tofauti...