Ukuta unaoning'iniza plazma television

Tumekuwa tukining'niza plazma tv, kuta nyingi hua tunaziacha tukisha tundika hizi tv zetu, ni kweli hizi tv ni za kutundika ukutani ama ...

This is special dedicatio to my friend Anither aka Pepe..(u know who you're)

Nina rafiki yangu jamani anachanganyikiwa anapoona fanicha za mbao, sasa akiiona hii, mmmh sipati picha jamani. Love u dear friend.

Onyesha muonekano wa mapambo kwenye shelf lako.

Panga shelf lako shape za mapambo mbalimbali, na tofauti na ulielekeze sehemu litakalooneka na  kuvutia muonekano wake. uanpotumia mapambo r...
Test........

Test........

Asanteni sana sana, unajua darasani mwalimu hua anatoa test, sasa na mimi nimetoa test nione je, blog inafuatiliwa ama napiga porojo tuuuu, ...